Wema Sepetu apata shavu Wasafi TV
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ametangaza kuwa ni moja ya watu maarufu watakaoonekana kwenye kituo cha runinga cha Wasafi TV kinachomilikiwa na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.Wema amesema kuwa watu kwa sasa wanamuona yupo karibu na Diamond Platnumz wengi wakidhani labda wamerudisha mahusiano yao ya kimapenzi lakini hakuna chochote yeye anamchukulia kama Boss wake kwani tayari ameshapata shavu la kurusha kipindi chake Wasafi TV. Mtazame Wema Sepetu akizungumzia ishu hiyo
Comments
Post a Comment