Mfahamu mrembo anayeingiza mil. 12 kwa mwezi kwa kuuza maziwa yake kwa wanaume

Mfahamu mrembo anayeingiza mil. 12 kwa mwezi kwa kuuza maziwa yake kwa wanaume

By


Katika maisha kuna njia nyingi za kutoka kimaisha na kila mmoja atatumia akili na ubunifu wake ili mradi asivunje sheria katika utafutaji wake, Ubunifu huo tunaouzungumzia umemkuta umetumiwa na Rafaela Lamprou ambaye anauza maziwa yake yeye mwenyewe mtandaoni.
Rafaela Lamprou, 24, from Cyprus, (pictured breastfeeding baby son Anjelo) is making thousands by selling her breast milk to men around the world 
Rafaela
Bi, Rafaela (24) ambaye amejifungua miezi 7 iliyopita amekuwa akijaza maziwa kwenye pakiti na kutangaza mtandaoni ambapo kwa siku huuza pakiti hadi pakiti 5 hadi 10 na pakiti moja yenye ujazo wa nusu lita inaunzwa kwa Euro 8-10 kwa watu wanaoagiza nchini Uingereza.
Akisimulia kuhusu wazo la biashara hiyo,  Rafaela amesema kuwa miezi saba alipojifungua mtoto wake wa pili maziwa yalikuwa yanatoka mengi kiasi kwamba hadi mtoto alikuwa anashindwa kunyonya.
Rafaella (pictured with her son Anjelo in hospital) found herself producing excess milk that she had no room to store, after giving birth to Anjelo 
Rafaella akimnyonyesha mtoto wake wa pili Anjelo ambapo alikiri kuwa anatokwa na maziwa mengi hadi anashindwa kwa kuyapeleka.
Raia huyo wa Cyprus amesema usiku wa manane ilimfanya aamke kukamulia chini maziwa hayo ili yasiloweshe godolo, na ndipo bibi yake alianza kuelimishwa umuhimu wa maziwa hayo kwa watu wakubwa hususani wanaume.
Rafaela amesema bibi yake alimwambia maziwa ya mwanamke ni tiba hata kwa wanaume wakubwa kwani inaimarisha misuli hivyo kama hata jali anaweza kumpatia hata mumewe akayatumia.
Lakini alipojaribu kumuomba mumewe aliyetambulika kwa jina la Alex ayatumie alikataa katu kunywa maziwa hayo.
The mother-of-two (pictured with her husband Alex) said she began donating the extra milk to mothers who were struggling to produce their own 
Rafaela na mumewe Alex

Kwenye mahojiano yake na Daily Mail, Rafaela amesema mumewe alipokataa alianza kukamua  maziwa hayo na kuyahifadhi ambapo kwa maelezo yake amedai alikuwa anahifadhi hadi lita 1.5 .
Ndipo wazo la kuanza biashara ya kuuza maziwa hayo likamjia ambapo alianza kutangaza mtandaoni kwa kuyanadi kuwa yanaimarisha misuli kwa wanaume ambao wanataka kuwa na muonekano mzuri.
“Nilianza kutangaza kupitia facebook, nilifungua group nikaanza kuwaalika marafiki na kutangaza bidhaa zangu nikaona wanaume wakichangamkia, basi nikaona ni wazo zuri na nikaanza kuwauzia,”amesema Rafaela kwenye mahojiano yake na Daily Mail.
Amesema mwezi Novemba 2017 wakati anaanza kutangaza biashara hiyo mtandaoni, watu walianza kumuhoji kuhusu usalama na usafi wa maziwa hayo ndipo alipoamua kwenda kwenye mamlaka husika za afya kupata usajili wa bidhaa yake.
Rafaela amesema kwa mwezi Desemba pekee aliweza kuuza lita 500 ambapo aliweza kutengeza Euro 4,500 ambayo sawa na zaidi ya Tsh milioni 12.
Rafaela has sent nearly 500 litres of breast milk to strangers, making £4,500 so far 
Bidhaa hiyo ya maziwa ikiwa tayari kwa kuuzwa.

Akielezea kuhusu changamoto za unyonyeshaji na biashara hiyo, Radaela amesema haoni changamoto yoyote kwani mtoto wake ananyonya kama inavyotakiwa na maziwa mengine humpatia mtoto wake mkubwa kwani ameshagundua kuwa ni tiba.
She says her husband Alex (pictured with their two children) is 'supportive' of what she's doing
Mume wa Rafaela akiwa na watoto wao wawili

Bi. Rafaela amesema wateja wake wengi ni wa mtandaoni na wengi wao ambao wameshawahi kununua wamempigia zaidi ya mara mbili wakihitaji bidhaa hiyo.

Comments